Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,137
- 364
Ina vyumba vitatu vya kulala,sebure,jiko na dinning room. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 1700. kimepimwa na kina hati miliki. Bei 150mil. Mawasiliano 0755312233 au info@kitomai.com