jamani wapi naweza kupata housing ya n9 au kama kuna mtu anaya simu kama hyo ambayo ni mbovu hana mpango wa kuiteneneza au haitengenezeki tuwelewane aniuzie housing 0683808361
Nyumba nzima ya kupanga inatafutwa.
MAENEO: maeneo yoyote ya Temeke, Dar es salaam, ama nje kidogo ya wilaya ya Temeke.
SIFA: Iwe ina choo cha ndani, iwe na marumaru ndani ya nyumba nzima...
Wanajanvi naombeni msaada kwenu nina madini aina ya kasheshe lakin sijui
soko nitapata wapi wanunuzi wa madini ya Aina hii hivyo naleta kwenu wanajamvi
plz... plz.... nisaidieni
waweza nicheki kwa...
Ndugu wana jf ninahitaji container kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. liwe linapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri. Bandarini yanauzwa lkn bei...
Ndugu wanajamii forum,natafuta CONTAINER kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. Container liwe maeneo ya Dar es Salaam. Bandarini yanauzwa lakini bei kidogo iko juu! Kama...
Wakuu habari,
Nataka nianze ujasiriamali, na ningependa kuuza nguo za mitumba za watoto. Sasa shida sijui mabel ya mitumba yanauzwa wapi dar/kariakoo na ningependa kuuza nguo first quality sio...
Habari zenu wanajamvi.
Ninashida ya kuelewa au kujua kama kuna promotion yoyote inayotolewa na kampuni ya simu ya nokia kama nilivyoiainisha hapo juu kwani nimetokea kupokea msg kwa mobile namba...
Hi All,
Please I need first-hand info on this oil and gas courses in Diploma or advance Diploma level in the UK, US, Norway, or elsewhere . My Daughter wants to build a career in the oil...
Kiwanja kinauzwa, kipo eneo la Mwangaza-Dodoma kina ukubwa wa 3081 sqm, terms 33yrs, bei ni Tshs 8,000,000/= (kwa mawasiliano nipigie kwenye namba 0784-715619 au 0754-548430 au 0719-676614)
Kama tangazo linavyo someka hapo juu ni modem za kampuni ya HUAWEI NA ZTE ZITAKUWA ZINATUMIA LINE YOYOTE
Na sio zile za HSDPA ambazo baada ya siku uacha kusoma kwenye computer
Pia kuna nyingine...
MILAGE 58000
CC 1660
2002 YEAR
COLOUR BLUE
IMELIPIWA INSURANCE NA MOTOR VEHICLE
BRANDNEW TOYOTA ALTEZZA
BEI NI 11,000,000Air Conditioning, Airbags, Alloy Wheels, AM/FM Radio, Anti-Lock Brakes...
wakuu nataka kuagiza volkswgen polo ag....naipenda inavyoonekana vipi spare zake hasa upatikanaji wake na garama zake....!ni muhimu sana kupata ushauri wenu maake soon naiagiza hii gari!
nauza ram 2 za kompyuta kila moja ina 256mb(used - tshs 5,000 kwa zote mbili), pia nauza lg cd-writer white (used - tshs 10,000), pia nauza motherboard pentium 2 'mercury' nzima ina power kwa tshs...
Zote ni nyeupe pe!
Zimetumika kidogo sana na kwa matunzo mazuri
Note II-800,000
Xperia Z 750,000
Available in Dar es salaam
Interested buyers kindly PM with your offer!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.