Mkopo

Mshahara wangu ni laki nane,je naweza kukopa milioni 15 halafu wakawa wanakata mshahara?je watakata sh ngapi kwa mwezi? Deni langu litakuwa sh ngapi pamoja na riba?
 
sasa ww unataka wasidai???? mkopo wowote kuzingatia muda ni muhimu na lazima!!!

Usiombe ndugu yangu,mimi nimekopa benki tofauti tofauti lakini hao jamaa wamezidi,Waliwahi kumpa pressure mtu wangu wa karibu kwa jambo dogo sana hadi akajuta kukopa pale.

Tatizo sio kudai bali hawana ustaarabu muda mfupi wameshakuja kusomba mali zako na madai mengine kibao hata kama umekuwa ukilipa vizuri tu huko nyuma.
 
benk gani ni nzuri sasa yenye masharti nafuu na riba ndogo?
 
Nenda Azania au Akiba.
azania / akiba masharti yao ni nafuu wanatoa mkopo fasta within a week?

nilitaka mil15 akses na hawakuniambia hata kuhusu hati ya nyumba, waliniambia tu wanataka risiti ya kodi majengo na karatasi za luku/mita na barua ya serikali za mtaa, na wakaniambia nikikamilisha within a week napata mkopo!
 
Mkuu siwezi kukuhakikishia hilo ila Azania ukikamilisha kila kitu ndani ya wiki mzigo unaingia.
 
Wanadai dunia nzima hao.utajuta! kopa lakini si hao.wanadhalilisha mno tena kwa default hata ya siku moja!

...Hakika wewe Unawajua Vizuri! Yalinikuta hayo ya Default ya Siku Moja, Mpaka leo nimo kwenye Black List yao!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom