kanga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,025
- 494
Wanajf naomba kupata ushirikiano wenu kwa taarifa sahihi wapi naweza kupata mashine katika jiji la Dar es salaam kwa kazi ya fumigation kwa matumizi ya majumbani na biashara (domestic and commercial use).Mashine aina zote hand /manual spray na motorized fumigation spray zinahitajika.Mashine zinazotafutwa ni aina zote used na mpya.Toa ushirikiano maana ujasiriamali ni muhimu .