Nauza brand new digital camera ina 16 mp,3" screen size ,5x digital zoom ,rangi ni nyeusi.mwenye kuhitaji call me on 0713404014
Nauza brand new digital camera ina 16 mp,3" screen size ,5x digital zoom ,rangi ni nyeusi.mwenye kuhitaji call me on 0713404014
Naitaka hiyo sharti iwe na rechargable betri na uweke Bei
If you intereste ni cheki kwa namba yangu mm ntakucheki nikiona bei
Yes,betri ni rechargeble ,bei 320
Mkuu camera ni mpya haijatumika na haina tatizo loloteHaina tatizo lolote la kiufundi??
imetumika kwa mda gani hivi?