za week end wandugu;
wajameni, nimeanza kukamata ngawira huku majuu na Mungu akipend nikitia mguu bongo nitaendesha kamashine kangu binafsi ka kwanza maishani mwangu. sasa naomba mnisaudie...
jamani kwa wale wapenz wa shisha kuna ambayo inauzwa bei maelewano alie tayar 0764606878. iko vizuri kutoka sauzi.. ni beep ntakipigia watu wangu wa nguvu...
Members kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Kwembe kijijini(Mbezi mwisho kwa mbele). Ukifika makondeko unaingia kushoto.Kina ukubwa wa 28x30.
Mimi sio dalali na wala sio muuzaji wa kiwanja ila...
habari zenu..
Nina agency ambayo nimekuwa nikifanyia kazi nyumbani for sometimes now..ila imeonekana ni vema nikawa na office. Hivyo naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kuwa na space ya kushare...
nauza kiwanja changu maeneo ya ukonga karakata hatua 17 kwa 20 milion tatu tu,maji yapo na umeme upo,kinafaa kujenga nyumba ya kupangisha au kuishi kwa sababu kipo kwenye makazi ya watu.
eneo: mtwara mjini ktk mtaa wa mitengo,kipo eneo la juu na tambalale kiasi kwamba unauona mji wote,kipo 2km kutoka barabara kuu,ni jirani kabisa na mji wa zamani wa mikindani
bei: beni ni...
reputable brands za flat screen tv at least 32" inahitajika haraka kwa bei ya chini ya soko.wahi kama wewe ni mdau wa biashara hii.Dalali msumbufu hatakiwi. weka bei na mahali zilipo zitafuatwa...
PATA Laptop Adapters za aina zote KWa Tsh 35,000 tu ..NA Flash disks za 8GB kwa Tshs 13,500..
KWA Mawasiliano na kutoa Order piga Namba 0658663325- Serious Buyers Only. KARIBUNI
Simu ipo katika hali nzuri haina scratch ata kidogo. Ninauza kwa kua ninashida na napatikana DOM mjini. Kwa atakae penda ani-PM.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.