natafuta office ya kushare

natafuta office ya kushare

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
267
habari zenu..
Nina agency ambayo nimekuwa nikifanyia kazi nyumbani for sometimes now..ila imeonekana ni vema nikawa na office. Hivyo naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kuwa na space ya kushare officin kwake? Tutakubaliana cost sharing. Nahitaji cchumba kimoja tu. Au naweza kupata chumba maeneo ya sinza, mwenge, kijitonyama, survey?
 
Back
Top Bottom