1. Gari inafika..??nauza kiwanja changu maeneo ya ukonga karakata hatua 17 kwa 20 milion tatu tu,maji yapo na umeme upo,kinafaa kujenga nyumba ya kupangisha au kuishi kwa sababu kipo kwenye makazi ya watu.
1. Gari inafika..??
2. Kipo kwenye mteremko au tambarare..???
3. Maji ya Dawasco au watu binafsi..??
4. Sababu zipi zinakufanya uuze..??