Flat screen led hd tv 32" inahitajika

Flat screen led hd tv 32" inahitajika

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
reputable brands za flat screen tv at least 32" inahitajika haraka kwa bei ya chini ya soko.wahi kama wewe ni mdau wa biashara hii.Dalali msumbufu hatakiwi. weka bei na mahali zilipo zitafuatwa haraka inavyowezekana.
Ujasiriamali ni vita lazima kupambana.
 
Ipo sony kwa laki nane na nusu tu brand new!
 
Ipo Lcd nchi 42 sumsung. 900,000/-
 
reputable brands za flat screen tv at least 32" inahitajika haraka kwa bei ya chini ya soko.wahi kama wewe ni mdau wa biashara hii.Dalali msumbufu hatakiwi. weka bei na mahali zilipo zitafuatwa haraka inavyowezekana.
Ujasiriamali ni vita lazima kupambana.

Led sony
 
kuna lg hapa inch 32 kama uko tayari sema bei yake ni laki 7
 
Laki sita na nusu tu sony lcd brand new
 
kuna lg hapa inch 32 kama uko tayari sema bei yake ni laki 7

upo wapi,tufanye biashara hiyo?, na discount yako mwisho ngapi?. nipo interested bila shaka
 
Last edited by a moderator:

niko dar but now niko safarini kikazi by kesho kutwa nitakuwa dar, ni pm namba yako tufanye biashara
 
sajojo weka cm yako au pm nikutafute leo .nina siku ya leo na kesho tu nasafiri kwenda mikoani huko Machochwe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom