Shisha inauzwa

Shisha inauzwa

Joseshayo

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
94
Reaction score
33
jamani kwa wale wapenz wa shisha kuna ambayo inauzwa bei maelewano alie tayar 0764606878. iko vizuri kutoka sauzi.. ni beep ntakipigia watu wangu wa nguvu...
 
Sheesha hii hapa:

Kim-Kardashian-Shisha-Smoking.jpg
786923d1195809360-sheesha-do-u-smoke-sheesha-hookah-info_3pb_pakwheels-com-.gif
 
Ehh haya Sikonge ni bora ukaline asali kuliko kuwa mwalimu JF wanafunzi watafeli wote au watakariri ili kujibu mtihani
 
Last edited by a moderator:
Lohhh, Samahani sana Mkuu kwa kutokuweka shule.

images
soex--shisha-flavours.jpg


Ni hivi: Kuna kitu kama Tumbaku ambayo ina radha tofauti. Sijui wanatengeneza na nini kwa sababu mie si mvutaji na sijawahi kufuatilia sana. Hiyo tumbaku yenye radha za aina mbalimbali kama kwenye picha hapo juu, wanaichukua na kuiweka kwenye karatasi ya Aluminium na kuiweka juu kabisa ya hiyo mashine/Kiko iitwayo SHEESHA. Chini kabisa wanaweza maji na wengine huwa wanaweka WINE ila bei yake inakuwa kubwa sana.

Ukishaweka hivyo vitu, juu unaweka KAA au MKAA wa moto na hapo kwa kutumia mrija unaanza kuvuta. Ili kutoingiliana mrija mmoja watu kibao, kila mtu anakuwa na ki-Plastic chake cha kuweka mwisho wa mrija (Kikondom?) na kila unapopasiwa mrija, basi unaweka kiplastic chako na kuanza kuvuta.

Wanawake pia wanavuta kwa wingi sana. Wanasema si TUMBAKU na wala haina madhara (siwaamini). Ni marufu sana Uturuki na hata mimi nilinunua kimoja kidogo nilipokuwa Egypt ambako pia ni maarufu sana. Kwa ujumla nchi nyingi za Waarabu ni maarufu sana hii kiko ambayo Wanyamwezi pia zamani walikuwa nayo na walikuwa wanatumia kuvutia Bangi na wakiita "Ya mwi-Itolo" yaa ni Itolo ni kile Kibuyu ambacho ndani kinawekwa maji. Kama Mtemi Mirambo anavuta ndani basi unasikia tu maji yanavyotokota ndani ya kibuyo, Kudadadeki.

Nafikiri umenielewa kwa ufupi.
0334BC4150FD502434C52F

Ehh haya Sikonge ni bora ukaline asali kuliko kuwa mwalimu JF wanafunzi watafeli wote au watakariri ili kujibu mtihani
 
Hapo sasa ni kuchukua desa stationery na kumeza unasubili UE kudadadeki ni zaidi ya lecturing mkuu umetisha. sasa hiyo inawafaa wavuta ugolo, bange na tumbaku mi si mwanachama Sikonge. Lakini pia aliweka thread hii Joseshayo kakosea anatangaza biashara kama vile kila mtu anaijua. Wengine tuna bibi na babu zetu huko Bandabichi wanavuta hizo makitu.
 
Last edited by a moderator:
Ni mpya au used? Kama ni used imepitia ktk Vinywa vingapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom