Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,685
- 11,271
Members kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya Kwembe kijijini(Mbezi mwisho kwa mbele). Ukifika makondeko unaingia kushoto.Kina ukubwa wa 28x30.
Mimi sio dalali na wala sio muuzaji wa kiwanja ila nimeamua niwajuze members humu kwa sababu mwenye kiwanja alinambia mimi kama jirani kuwa kama nakipenda nikichukue na mimi kwa sasa sina uwezo wa kukichukua kwa sababu ninaluck cash.
Kinauzwa kwa Gharama ya shs milioni nne.Offcourse ni maeneo mazuri kwa yeyote atakayekuwa tayari na kama kitaendalea kuwepo basi nitamuunganisha na mwenye kiwanja.