wadau
niliamu akuuchukua uashaur wenu wa dhati kbs kwa vitendo na leo nawasilisha nilipofikia na changamoto nilizokutana nazo..
nilianza mchakato kwa kwenda Ruaha Mbuyuni mwaka jana...
Anayehitaji kiwanja kinauzwa kipo kibaha picha ya ndege maeneo ya boko km 5 kutoka morogoro road,kwa bei nzuri,ukubwa wake ni hatua 70 kwa 70,umeme upo karibu ,barabara inapitika muda...
Tunachora ramani za nyumba za aina tofauti tofauti(primaryarchitectural services),pia tunadesign ndani ya nyumba ambazo zilisha jengwatayari,maduka,migahawa,vibanda vya simu n.k(hii ni kwa upande...
Soma IT nyumbani kwa muda unaopenda mwenyewe - Video training courses hizi hapa.
Jifunze kozi yoyote ya IT popote ulipo without need to attend daily classes!
alphonce.NET - IT video training site
Habari zenu wana Jf, Tunauza parts, filters na oil kwa wateja wa Arusha, Kilimanjro, Manyara na Tanga. Kwa kampuni tunauza kwa mkopo na mtu binafsi ni pesa taslimu.
Huawei Y200 na Samsung Chat zinauzwa kwa bei ya 189,000/= Tsh. Utapata simu mbili na charger na kwa Huawei y200 utapata receipt yake for warranty valid for 5 months (Kama kukitokea tatizo lolote...
wakuu nauza smartphone zinazotolewa na kampuni ya buttonpay ambayo utaweza kuwa wakala wa kuuza luku, vocha za mitandao ya simu pamoja extreme na huduma nyingine za mobile money... bei tsh 120000...
Kwa anayehitaji kuku wa kienyeji majogoo ni mazuri yana uzito wa kilo moja na nusu au zaidi baada ya kuchinjwa bei ni TSH 15000 mpaka 20000 kulingana na uzito na ukubwa
Mayai trei moja TSH 15000...
Wandugu, Natafuta mahali ninapoweza kupata german shepherd mwenye umri usiozidi mwezi mmoja. Mwenye kujua mahali wanapopatikana anifahamishe na bei yake pia kwa mmoja. Nahitaji wawili
Ni Model ya mwaka 2000,
Imetembea Km 122,000.
Engine Capacity 1330 cc,
Number T BDU....
Gari inatembea, Iko Dar es Salaam.
Inauzwa Mil 6.5
Mwenye Offer PM tafadhali ...
Jenereta aina ya Honda, 2200GF2 Inauzwa kwa bei nafuu,Ipo kwenye hali nzuri,imetumika kwa mda wa mwezi 1 tu,kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia 0659606000
Hallo,
Unahitajika Mkopo wa Bei Nafuu kwa ajili ya Kufanyia Finnishing Apartments 4.
Mradi Uko Ilala. 12.8Kms from the Heart of the City(Dar Es Salaam)
Muda wa kurejesha Mkopo Ndani ya Miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.