Habari wadau wa kilimo natafuta mashamba ya kukodi maeneo ya maji kwa ajili ya kulima mboga mboga.. kama ruvu hivi na maeneo mengine yenye maji. Nawasilisha
Apartment inauzwa eneo ni Mikocheni, karibu na maeneo ya kwa Warioba. katika hilo jengo wapangaji wanalipa kodi $2500 kwa mwezi. kwa mawasiliano 0773 944 944
Nina kiwanja nauza mbezi makabe karibu na shule ya msingi makamba,ni sehemu watu wanajenga majumba ya kifahari, ukubwa 20x42, bei 12M kina hati ya serikali ya mtaa. dakika 5 kutoka barabara iliyo...
Bei tsh.laki na ishirini
Dell computer specifications;
HD:80
Ram:256
Processor:2.9ghz
n.b
ni case/cpu tu bila ya monitor wala keyboard n mouse
contact;0656063933 or pm
nyumba ya kawaida inauzwa mbagala
kiburugwa.nyumba hiyo ina vyumba vitano na
sehemu ya kiwanja ipo.ipo kwenye mtaa unaopitika
na gari hadi hapo kwenye nyumba. Nyumba ina title
deed yaan (hati...
nauza vista ardeo
imetembea km 45373
engine n vvti..cc 1800
ina spare tyre,spare key,redio,airbag.
Ni ya mwaka 2002
ina namba CGA
Iko vizuri sana
unaweza angalia attachment photo
niliagiza...
nyumba ya kawaida inauzwa mbagala
kiburugwa.nyumba hiyo ina vyumba vitano na
sehemu ya kiwanja ipo.ipo kwenye mtaa unaopitika
na gari hadi hapo kwenye nyumba. Nyumba ina title
deed yaan (hati...
nyumba ya kawaida inauzwa mbagala kiburugwa.nyumba hiyo ina vyumba vitano na sehemu ya kiwanja ipo.ipo kwenye mtaa unaopitika na gari hadi hapo kwenye nyumba. Nyumba ina title deed yaan (hati...
Nahitaji Pikipiki Iliyo Ktk Hali Nzuri Na Yenye Documents Zake Zote. SANLG, BOXER na FEKON Nitafurahi Zaidi .weka Dau Lako Hapo. Itapendeza Ikiwa Ni Wa Kibaha-mlandizi, Kibaha-maili Moja, Dar Es...
Habari wakuu natafuta gari la matumizi binafs ila napendelea kati ya hizi gari Lexus RX330 ya mwaka 2004 kwa wenye taarifa zaidi juu ya gar hii na kwa bongo ni sh. Ngapi.
Ama altenatively ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.