Kiboko ya wezi

Kiboko ya wezi

255 Systems

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
29
Reaction score
5
Kwa wale mliochoka kuamka na kukuta wezi wameruka ukuta wako na kuiba ndani mwako wakati mmelala au mmeacha nyumba haina mtu, 255 System inakuletea electrical fencing imara na za kisasa,pamoja na motor gates kwa wasiopenda kupiga piga honi kufunguliwa mageti usiku.unafungua gate lako 60 metres away from it.kwa mawasiliano ni pm,au email at j.masalu@255system.com au simu 0656 934573 kwa maelezo zaidi,ushauri ni bure.karibuni
 

Attachments

  • electric home.jpg
    electric home.jpg
    8.3 KB · Views: 154
  • electric1.jpg
    electric1.jpg
    8 KB · Views: 163
  • electric farm.jpg
    electric farm.jpg
    11.7 KB · Views: 144
  • IMG-20130817-WA001.jpg
    IMG-20130817-WA001.jpg
    59.1 KB · Views: 165
Usitudanganye,sema wewe unatangaza biashara. Kiboko ya wezi hii hapa,unabisha ?tuna mpaka wa pili mtaani hatujasikia nyo..ko nguo na magari tunalaza nje usiku na mchana.
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1378139969252.jpg
    uploadfromtaptalk1378139969252.jpg
    57.1 KB · Views: 153
Usitudanganye,sema wewe unatangaza biashara. Kiboko ya wezi hii hapa,unabisha ?tuna mpaka wa pili mtaani hatujasikia nyo..ko nguo na magari tunalaza nje usiku na mchana.




Ni kweli lakini nakubaliana na yote kwamba dawa ya mwizi ni uzio mzuri nyumbani na pili, moto wa petroli ama tindikali. watu wanafanya kazi kujiletea maendeleo nyumbani then kibaka aje kuiba na kukurudisha nyuma kimaendeleo haiji kabisa. Lete moto tu na tindikali, inatosha.
 
Weka Sample quotation hapa! kila mtu ajue! sina ulazima wa kuku-pm wakati ni jukumu lako kunielewesha mm(mteja) ili nivutiwe na huduma zako!
 
kufunga system nzima ni sh.ngapi?
kwa nini huwa mnashindwa kuweka kila kitu wazi ili mtu anapokutafuta anakuwa na kitu tayari?
hivi nyie kilasiku ni wageni JF?
Tupe walau roughly figures

sorry for this late reply wakuu,kuweni wapole kidogo.ok
1.electrical fencing tunacharge TZs 20,000/= per metre lakini mimnimal charge kama ukuta wako uko chini ya metre 100 bei ni 1.5 ml

2.motor gate pamoja na installation na maintanance kama itakusumbua (6 months) tunacharge 1.6 ml
 
Weka Sample quotation hapa! kila mtu ajue! sina ulazima wa kuku-pm wakati ni jukumu lako kunielewesha mm(mteja) ili nivutiwe na huduma zako!

Ukipata wateja wababe 5 kama hawa hata wauzaji lazima washike adabu. Hapa kweli mchakamchaka
 
Received with thanks.
Nitakutafuta tufanye biashara.
sorry for this late reply wakuu,kuweni wapole kidogo.ok
1.electrical fencing tunacharge tzs 20,000/= per metre lakini mimnimal charge kama ukuta wako uko chini ya metre 100 bei ni 1.5 ml

2.motor gate pamoja na installation na maintanance kama itakusumbua (6 months) tunacharge 1.6 ml
 
...kwani lile geti la mwonduli linafunguka ukiwa umbali gani?

...uzio wa umeme, mmbwa mkali, mlinzi wa kimasai...hakika havisaidii bwana abishapo hodi kuichukua roho yako...
 
Hyo 1.6m pamoja na geti? Hyo 20k per Meter haina discount?

Mkuu King KOng< bei hiyo ni ya motor, installation charges.tunakupa free service hadi miezi sita baada ya kukufungia (just incase ikikorofisha au ukisahaa operating it) bei ya electrical fence pia ina poa kiasi mkuu kutokana na ukubwa wa kazi yako.Karibu sana
 
Back
Top Bottom