Nyumba ya kupanga

Nyumba ya kupanga

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
habarini wana ndugu, mimi nataka nyumba ya kupanga kuanzia januar mwakani, nimeweka taarifa mapema ili kama kuna mtu anamalizia kujenga au anajua kuna mtu anahama sehemu niweze kupata kirahisi, nitalipa kodi ya kuanzia mwezi januari mwakani hata kama itahitajika kabla ya mwezi husika kufika,

SIFA ZA NYUMBA:
Iwe ya kujitegemea kila kitu kama, sebule, jiko, choo, vyumba 2 vya kulala
napenda nipate, kigamboni, tabata, au kurasini,
isiwe mbali na kituo cha daladala kwa kuwa ndo usafiri ninaotumia,
isiwe nyumba yenye matatizo yoyote ya kifamilia
gari iwe inafika kirahisi sehemu ya nyumba

bei ni kuanzia elfu 80 mpaka laki na 20 kulingana na nyumba yenyewe itakavyokuwa!!

sanateni, mawasiliano 0713 644485 au emmanuelvitalis@tanzaniamail.com
 
Na mie natafuta nyumba maeneo ya tabata iwe na vyumba viwili vya kulala na sebule. Kama unayo tafahdali nitumie email lmkaju@yahoo.com
 
Back
Top Bottom