nyumba inapangishwa

nyumba inapangishwa

ALLY RIYAMI

Senior Member
Joined
May 26, 2012
Posts
115
Reaction score
15
nyumba self and master inapangishwa maeneo ya tabata liwiti ,nyumba ipo barabarani ina geti,umeme maji na kisima cha ndani,vyumba 3 master ,jiko na vyoo vya ndani,self luku and parking za kutosha,call me 0652740304 ally,nyumba ni mpyaaaa
 
Mmh!!!!mbn hujui kujieleza!!!hebu fafanua vizuri!!!maana nahitaji nyumba!!

Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
 
Mi nahitaji vyumba viwili viwe self contained, hivyo vitatu vingi sana kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom