Wadau nilipata taarifa ambazo hazikuwa kamilifu kuwa Wilaya ya kinondoni inatarajia kuuza Viwanja maeneo ya Mabwepande, Mwenye kujua naomba anijuze taratibu ziko vipi.
Wadau nilipata taarifa ambazo hazikuwa kamilifu kuwa Wilaya ya kinondoni inatarajia kuuza Viwanja maeneo ya Mabwepande, Mwenye kujua naomba anijuze taratibu ziko vipi.
Hata mm nilisikia viwanja 256 vya mwanzo vilishagaiwa na awamu ya pili inatarajiwa kuwa katikati ya mwezi wa kumi,tembelea ofisi za mipango miji manispaa ya kinondoni kwa maelezo zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.