Hii gari ina 250,000 ila engine iliyomo sio original ya hii gari. Hizi gari zinakuja na 3L engine , sisi tumeweka 5L engine. Engine hizi ni kama sawa kasoro injector pump ya 3L ni ndogo kidogo. Hatukuweza kupata mileage ya gari ambayo engine yake tulinunua.
Lakini engine in sound vizuri na ina nguvu sana.