kwa wadau wote. Ninauza gari aina ya nissan pick up model t-gd21. Inatumia petrol. Cc ni 1627. Inatembea ila inaitaji marebisho ya kabureta na matairi sio mazuri karibuni kwa pm wakuu
Kiwanja kipo Moshi mjini,maeneo ya PASUA.Kipo eneo zuri mita 200 kutoka barabara ya pasua-mbuyuni.Kipo karibu na soko jipya.Bei mill22,kwa maelezo na mwawasiliano zaidi piga 0713792533/0684570069.
Ndugu zangu natafuta compressor washing machine kwa ajili ya kuoshea magari. Natafuta inayotumia petrol mana nilipo hakuna umeme. Mwenye nayo au anayejua zinapouzwa na bei yake naomba anijuze...
We offer all e-mail users with a FREE 07366xxxx fax number that is linked to your e-mail address. You can now receive all your faxes in your inbox the same as a e-mail. Should you be interested...
Yard inangishwa Ipo kinondoni barabara ya ally hassan mwinyi, Ina sifa zifuatazo :
Ukubwa sqm 1,800
Jengo la vyumba 7 vya kulala. onaweza ukatumia kama ofisi nk
Umeme na maji vipo :
Tank kubwa...
Kuna fundi mwenye kipaji na uwezo wa ajabu wa kutengeneza simu ,simu anazotengeneza ni zenye matatizo kama [i]unlock password [i] internet connection..simu anazodili nazo ni [i]NOKIA [ii]SAMSUNG...
nyumba ya kawaida inauzwa mbagala
kiburugwa.nyumba hiyo ina vyumba vitano na
sehemu ya kiwanja ipo.ipo kwenye mtaa unaopitika
na gari hadi hapo kwenye nyumba. Nyumba ina title
deed yaan (hati...
Halo Wanajamii.
Ninauza eneo la ukubwa wa eka 2, eneo lipo kidimu maeneo ya mpigi kwa mbele.
Eneo halijapandwa chochote. Lina mchanganyiko wa bonde na tambarale.
Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa...
Wadau wote wa JF.
Rafiki yangu anataka kununua Toyota Noah Old model. Pesa yake ni sh milioni 8. Mimi siyo Dalali. Muuzaji yeyote mwenye gari kama hiyo ani PM, au anitunie picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.