echuma
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 311
- 80
- Dhumuni la Uzi huu
Ilizokwisha zifanya kwa wateja wake, unaruhusiwa kuuliza au kutaka ufananuzi wowote unaohusiana na
Mambo ya Printing, Graphic design na Website. Karibu
- Kuanzishwa kwa kampuni
Hii imeanzishwa mwaka 2012.kwa minajili ya kutoa huduma ya Graphic design, printing,
Steshenari na teknolojia ya tovuti ( website).
- Wateja wake
makampuni na NGO's.
- Vission na mission
Nchi za Afrika Mashariki na kati, ili kufanikisha malengo hayo tunajitahidi kuongeza ufanisi wa kazi na
Namna ya utaratibu wa ufanyaji kazi wake.
- Sehemu ilikofanya kazi.
Mikoa tofauti tofauti kama Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro,Morogoro,Shinyanga na Mwanza.
- Jinsi inavyofanya kazi
Weledi wa kutosha kukidhi haja na mahitaji yako kama mteja.
- Promosheni
Kutokana na umuhimu wa kutofautiana na wengine na kujali wateja wake pia Legacy imeanzisha
Promosheni ya Branding package ambapo mteja akibrand na Legacy ndani ya mwezi huu wa tisa atakuwa
Na ofa ya kufanyiwa kila dizaini kwa bei ya shilingi 20,000/= . Bei zetu ni za chini kulinganisha na huduma tunayotoa .
- Utofauti na wengine
- Shukrani
Karibu LEGACY hautajuta kufanya kazi na sisi kwa sababu Legacy ndio ufunguo wa maendeleo ya biashara yako.
Pia tunafanya kazi online kwa walioko mikoani na wanaohitaji huduma hiyo.
Tunapatikana Kijitonyama, Dar es salaam Plot no 4298, block 44, Simu 0713 603 699/0767 603 699,Email: info@legacytz.com, Website: www.legacytz.com, Blog: www.legacycompany.blogspot.com.
Karibuni sana


