Viwanja 8 vinauzwa mbezi beach-mbezi juu

Viwanja 8 vinauzwa mbezi beach-mbezi juu

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,143
Reaction score
369
Vipo Mbezi juu karibu na Saint Mary Secondary school. kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1200. ukiwa katika viwanja hivyo unaitazama bahari. Bei 70mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo ya ziada au kuvitazama piga simu 0717114409.
 
..Asante kwa taarifa kiongozi.
 
asante kwa info,ila izi bei za viwanja kweli wenye nazo ndio wanafaidi
prime areas?
 
Mbezi Juu mbona kuna maporomoko na mabonde kibao hata maji hakuna?Kwa bei hiyo ndugu mmmmh njoja ninende kulima B'mulo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom