Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

inote mini smartphone duos brand new in box charger usb cable manual earphones 4GB memory booktype case 1 year warranty price 130000tsh call 0713388226
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani nahitaji kiwanja maeneo ya bunju A, au B na maeneo ya jirani atleast sqm 600 na kuendelea au 20*25 mwenye nacho anicheki kwa PM au 0656299246, hii ni serious na ni urgent wakuu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari naitaji king'amuzi kwa bei ya 40000,nipo DSM Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu imetumika 1 week tu. Bei ni 420,000/= Tshs Inakuja na screen protector,Charger,Earphone na Box Flip Cover ntakuuzia kwa 15,000 Kwanini nauza: Simu ina chukua 2 hrs and 45mins kucharge na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jamii, mimi ni mkulima ninao mchele mwingi nauza; mchele huu umelimwa hapahapa Tanzania. Kutokana na wingi wa mchele nilionao, utafaa kwa watu wengi kama shule na vyuo ambako...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar,Morogoro na Dodoma tunzeni magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at j.masalu@255system.com au simu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
nauza hizo lain mbili,nilizinunua kwa sasa sizihitaji,anayezihitaji anipigie bei ni milioni,negotiable 0689626886,nipo dar
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau kama heading inavyojieleza nahitaji kukodi Camera mojawapo ya hizo kwa siku 4 au 5, najua security ya Camera ni muhimu hivyo niko tayari kumtumia Cameraman wako cha msingi awe na uzoefu plus...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wana jamvi, naomba mwenye habari zaidi kuhusu hii kampuni ya forever marketing!!! Naogopa isije ikawa mambo kama yale ya deci. Asanteni nyote!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwelulila 08:35 10th September 2013 HP Compaq dc7900 Core 2 Duo E8400 3.0GHz 4GB 80GB DVD Desktop PC imetumika miez miwili inauzwa,kama unahitaji n PM tuongee biashara
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Bajeti yangu ni tsh 5,000,000 plus or minus kutegemea na aina ya gari note: Ni starlet tu gari zingine hata bure sitaki
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hello jf members kwa anayehitaji galaxy s2 and s3 anicontact.. ninazo brand new For S2 laki 4. For s3 laki 7 na nusu
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Kwa yeyote anyetaka hii software ani pm maana nimejaribu kui upload hapa ina goma ni nzuri kwa CV na interviews technique. youtube au google uone sample.Ni zip file unaitajikuwa na ISO burning...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Rav 4, 2001, 1800cc Vvti engine, no dent, new tyres, it has been under one ownership since arrived from japan, Tel 0713 95 92 90
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nishapata tayri thanks kwa wote.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Pm kama unayo, IWE KATIKA HALI NZURI.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye kuuza samsung galaxy s2 nyeusi used kwa lak 3 tuwasiliane haraka. awe mwanza au Dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF kama kuna ambaye anauelewa wa kutafuta client on line au nisaidieni mawazo cha kufanya ili niweze kupata wageni. kama unaweza nisaidia au unamaelekezo naomba niandikie kwenye EMAIL hii...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama tittle inavyojieleza hapo juu wanajamvi nina 40000 per month nahitaji chumba mitaa yeyote ile ya mwenge au ubungo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa mbande dar es salaam kipo karibu kabisa na uwanja wa mpira wa azam fc. Kiwanja kipo sehemu nzuri kina ukubwa wa futi 60 kwa 50 bei milion tatu na nusu kwa mawasiliano.0656 25...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom