Hasa wale wa retrechment ama redenders ole usikurupuke kununu gari kisa shangazi wa mjomba ana gari mtalia...kabla ya kununua gari uliza uimara wake tafuta mafundi wazuri\watakuelimisha bure ...na...
sina budi kutoa shukrani kwa jf nilipata c5 kupitia jf,tena nikapata n8 kupitia jf.
Na sasa nahitaji lumia tajwa hapo juu,mwenye nayo ani pm au ani-text ktk 0763802014.
Karibuni.
nyumba inauzwa
ipo Arusha....eneo la shangarai
ina vyumba viwili vya kawaida vya kulala na master moja......jiko....dining....siting.....bafu....choo......parking space ya kutosha.....fence na...
Ni aina ya toshiba hard disc yake ni 200GB,,pia ina web camera,kwa aliye serious tuwasiliane kwa namba - - - - - 0767-950130 ili aweze kuiona na kucheck vitu vingine kama processing speed...
Power Steering, Air Conditioner, Rear Spoiler, Alloy Wheels, Navigation, TV, Anti-Lock Brake System, Dual Air Bags, Power Windows
AERO,CD
For test drive come around Arusha memorial Tower soon
Wakuu nadhani heading inaeleweka.
Kwa kuongezea tu ni kwamba nataka kufanya biashara hiyo ya kuprint t-shirt na kuziuza.
So mnijulishe wapi ntapata plain t-shirt nzuri,na ni sh ngapi kwa bei ya...
Wakuu nauza kampuni zangu>
moja inajishughulisha na usafi ktk maofisi na majumbani. imesajiliwa na leseni yake inaruhusu kufanya usafi kwa ujumla yaani unafanya usafi wa aina zote: inaitwa(...
OFFER OFFER OFFER
Jipatie laptops kwa bei nafuu kabisa
DELL
RAM 2GB
HARD DISK 60GB
DVD WRITTER
ITS DVD ROM
Bei ni 310,000 tu zimebaki pc6 ukichkua zote tunakupa kwa 290000
Pia...
Wakuu
Kwa yeyote mwenye nalo au ana taarifa za mahali linauzwa tafadhali anijulishe kwa PM.
Sina uwezo wa kununua jipya; Nataka used au hata lililo down kabisa nikafufue. Ninachojali chassis na...
MAHALI: IRINGA MJINI MAWELEWELE (Jirani na yanapojengwa makao makuu
mapya ya Mkoa)
UKUBWA: METER 35 X 25
Usafiri unapatikana ni Tsh 400/= kwa daladala kutoka stendi kuu...
Kuna kampuni kutoka uholanzi inahitaji kampuni au agent itakayokuwa inawasambazia nyama zao za ngombe nk hapa tanzania kwa anayehitaji hii deal ani contact me 0716567467 ili nim connect nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.