CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 946
Wakuu nadhani heading inaeleweka.
Kwa kuongezea tu ni kwamba nataka kufanya biashara hiyo ya kuprint t-shirt na kuziuza.
So mnijulishe wapi ntapata plain t-shirt nzuri,na ni sh ngapi kwa bei ya jumla?na wapi kuna printers wazuri?
Naomba kuwasilisha.