Nauza laptop kwa aliyeko kahama

Nauza laptop kwa aliyeko kahama

Jolebatawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
549
Reaction score
230
Ni aina ya toshiba hard disc yake ni 200GB,,pia ina web camera,kwa aliye serious tuwasiliane kwa namba - - - - - 0767-950130 ili aweze kuiona na kucheck vitu vingine kama processing speed nakadharika.Kiujumla laptop ipo katika hali nzuri.
 
Niambie bei yake mimi nina itaka uko sehemu gani nikuone?????
 
Niambie bei yake mimi nina itaka uko sehemu gani nikuone?????
bei ni sh laki 4 tu,,uko tayari twaweza kuwasiliana ili nikaja nayo hapo ulipo ukaicheki kama unaafikiana na hiyo bei.
 
Naitaji laptop but kwa njinsi ninavyoichukia ccm na hiyo bendera kwa ufisadi wao.ni bora uiondoe hiyo bendera tufanye biashara mkuu
 
Back
Top Bottom