kiwanja kinauzwa mikwambe dar es salaam.chenye ukubwa wa futi 28 kwa 30.kipo mahali pazur pamejengeka kwa nyumba za kisasa, gari inafika mpaka kiwanjani,kimefikiwa na huduma za umeme na...
iwe unlocked yani iwe inakubali laini yoyote, iwe nzima na iwe haina tatizo lolote, isiwe ya uwizi tafadhali. pesa taslimu niliyonayo ni hiyo TSH 15,000/= , napatikana Ubungo, Dar es salaam...
Hello people, MImi ni mwanafunzi wa chuo na nimetengeneza website yangu nzuri ya vitu KADHAA wa KADHAA naomba cheki it out ....
kwa sababu nimeona FURSA nika THUBUTU naombeni muitembeleee...
Shamba kubwa Mkuranga zaidi ya eka 10 na ukitaka zaidi utaongezewa kulingana na mahitaji yako.
Linafaa sana kwa: Kilimo, ufugaji, shule, kiwanda, makazi nk.
Wasiliana na Bw. Salum Ngohengo kwa...
Nyumba moja kubwa yenye vyumba vinne (vyote self-contained) inauzwa. Ipo Chanika, Masantula. Ina nyumba ndogo ya uani yenye vyumba vitatu, viwili vinatumia sebule moja. Nyumba hiyo imo katika eneo...
Habari zenu wa kuu, mimi nategemea kuhama napokaa mwezi wa kwanza mwakani, naomba kama kuna dalali au mtu anayefahamiana na dalali anipatie namba au aniunganishe naye!! au kama kuna mtu anahitaji...
KIwanja kinauzwa kigambon mikwambe kipo karbu kabisa na kwa pinda kiwanja kipo sehemu nzur gari inafika hadi pale. Huduma kama umeme maji, na miundo mbinu mizuri.kina ukubwa wa miguu 20 kwa 26...
Kampuni ya Excellence Management International Inawatangazia wanafunzi wa vyuo mbalimabli Tanzania na Afrika Mashariki kuwa kutakuwa na mafunzo ya muda yanayohusu masuala ya utafiti (Practical and...
Nauza simu aina ya Nokia Lumia520 ni mpya kabisa na imetumika week moja(1) tu ipo katika box ikiwa na protector,simu cover na kila kitu kuanzia charger,câble na earphone...bei ni 250,000/= tu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.