Vipo upande wa kushoto mwa barabara iendayo Bagamoyo na umbali wa km 2 na nusu toka barabarani. Viwanja vina ukubwa wa mita za mraba tafauti tofauti. Vimepimwa. Bei shilingi 7500 kwa mita moja...
Ipo Boko upande wa kushoto katika Barabara inayoelekea Bagamoyo. Ipo karibu na nyumba za Shirka la nyumba la Taifa-NHC-BOKO. Ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure na baraza la kulia chakula...
Pata software mahiri itakayokusaidia katika kutengeneza BUSINESS PLAN nzuri inayoeleweka na inayopendeza na yakuvutia software hii ina feature mbalimbali nzuri pia ina financial tools zote...
Naomba msaada kujua wapi nitapata genuine water pump kwa hapa Dar. Kwa ajili ya ku-pump maji toka kwenye kisima kirefu (inatakiwa ya kuzamisha kisimani). Nitashukuru kupata specifications zake na...
Mteja wangu anahitahitaji eneo hilo liwe na uwezo wa kuchukua washirika au waumini 800 kwa wakati mmoja. Liwe maeneo yafuatayo:Masaki,Osterbay,Msasani, Mikocheni, Mwenge au Sinza. Mawasiliano...
Nauza hiyo simu 200,000 tu wanaJamvi, ukiangalia ktk zoomTZ kuna watu wanauza hy simu 250,000 na kuendelea, mwenzenu nisaidieni nipate ada maana HESLB Majanga tu, 0717 701778
picha zaidi...
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD
END OF YEAR OFFER!
SALE! SALE! SALE!
OPERESHENI VUNJA BEI
BEI ZA CONTAINERS HUWEZI KUAMINI!!!!!!!
20' CONTAINER TO DAR/MOMBASA £1,250
40' CONTAINER TO DAR MOMBASA...
Ndugu wapendwa,
hebu naomba yeyote mwenye uzoefu na gari hii ya Mitsubishi Pajero IO GDI,
Au ameshawahi kuimiliki au anaifahamu tu vizuri!!!
Napenda kujua kiufundi huwa inasumbua nini mara kwa...
Msafara wa waziri wa sayansi na mawasiliano Tanzania, umepatwa ajali baada ya kugongwa na basi la abiria mnamo saa mbili hivi usiku huko Sengerema baada ya kuvuka Kivuko cha Busisi, upande wa...
Nauza
Sony Bravia flat screen LED inchi 46: Mil 4,
fridge kubwa milango 2 LG: Mil 2.5,
freezer kubwa ya Nyama aina ya Liebherr Heavy Duty: Mil 6, vyote ni original,
vipya na vimetoka...
Kiwanja kinauzwa.
kipo Sumangila karibu na amani gomvu
ukubwa wa SMQ 1,800
kimepimwa na kina hati
ni km 25 kutoka feri ya magogoni.
bei ni Tsh. 22m.
tuwasiliane: +255 685 31 23 26 ( Real...
Viwanja vinauzwa vipo Kibaha mjini kata ya Pangani vinauzwa 4000 sh kwa square meter vinaanzia 20 kwa 20 na hadi vya 20 kwa 43 kwa 30.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba hizi 0754/0715...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.