Habari zenu!
Mwenye namba wa importer wa hizo ladies shoes anaeuza jumla na mwenye mzigo wa kutosha anistue! Reja reja sitaki! Then kuanzia hapo nitaenda kucheki mali then kama inalipa tutafanya...
fremu nzuri ya biashara inapangishwa sh.laki moja kwa mwezi ipo tegeta ccm mita 50 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo..kwa anayehitaj plz call 0717483440
nahitaji ramani ya nyumba yenye vyumba viwili vya kulala,master moja,dinning,sebure ya kuweza kukaa seti mbili za coach na vikoro koro kadha wa kadhaa,jiko,stool, choo cha public..SIMPLE BUT...
Pata eneo kubwa kwa ajili ya kilimo,ufugaji, shule, kiwanda,makazi,nk huko Mkuranga Kiparang"andabarabara ya Kilwa. Eneo lina ukubwa wa ekari 10 na zaidi. Ukitaka zaidi utaongezewa hata kufikia...
cc: 1580
mileage: 130,000km
condition: good condition
price 8,500,000/-
the car is available for inspection after 5pm maeneo ya mwenge to ubungo, kinondoni na sehemu za karibu
contacts:
+255...
Nisaidieni kwenye kuprocess namba ya wakala wa m-pesa, tigo na airtel imekuwa kama nafasi kwa wengine. Maana nimezunguka maofisini kwao naambiwa hawatoi kwa dar es salaama lakini ukitoka...
Gari imesajiliwa mwezi wa tisa mwaka huu,
No T....CNV, ina km 86,0000. Rangi ya silver.
Airbag 2, Mziki, kama kawaida AC za carina mnzijua ni full kuganda, ina engine ya 7A.
Bei ni rahisi...
Habari za asubuhi wapendwa..
Naomba kujuzwa utaratibu wa kununua gari Zanzibar na kulileta Bara....
Nasikia bei ya Zanzibar ni rahisi ukilinganisha na ya Bara, ila kuna kulipia ushuru...
Habari zenu wana JF,
Inahitajika nyumba ya kupanga vyumba viwili,choo na jiko. maeneo ya morroco,kawe,kinondoni au mikocheni..budget ni 200,000 kwa mwezi.kama unao msaada.Ni PM
Thanks.
Nahitaji Pikipiki Iliyo Ktk Hali Nzuri Na Yenye Documents Zake Zote. SANLG, BOXER na FEKON Nitafurahi Zaidi .weka Dau Lako Hapo. Itapendeza Ikiwa Ni Wa Kibaha-mlandizi, Kibaha-maili Moja, Dar Es...
HABARI WANA JF!
Kiwanja kipo kigangomboni-mikwambe kama unaelekea kwa mh.mizengo pinda
kikubwa na tambarale (miguu 23 kwa 34)
karibu na barabara(mwendo wa dk3 kutoka rami)
umeme jirani...
Model 1997
odometer 85,000
bei million 13,700,000.
Namba chc
double airbag
haijatumika hapa tz.
Import from japan
check photo.
Contact 0756 600311, 0782 335151