kwa mtaji huu ntafanya biashara gani!

kwa mtaji huu ntafanya biashara gani!

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,743
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*
 
wadau naish DAR nina mtaji wa laki moja hv naweza kufanya kazi gani! Nipate hela ya kula na kuishi nikiwa nasubiria ajira mwez wa pili*

Nenda pale kivukoni. Nunua kilo 10 za pweza. Jioni ukirudi kutoka kazini chukua meza weka mtaani kwako au pembeni ya barabara then uza kipande 200 plus supu etc.
Ps. Usafi wako ndo mvuto kwa wateja.
 
daa jamaa kakushauri vzr lkn ama funga maj na juice piga mishe ukiona vp ata karanga za kukaangwa znalipa
 
Hapo huna ujanja, nenda Geza Ulole au Kibugumo kamata shamba anza kulima nyanya, baada ya miezi minne uko safi.
 
Back
Top Bottom