benbry
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 183
- 55
Gari imesajiliwa mwezi wa tisa mwaka huu,
No T....CNV, ina km 86,0000. Rangi ya silver.
Airbag 2, Mziki, kama kawaida AC za carina mnzijua ni full kuganda, ina engine ya 7A.
Bei ni rahisi kabisa tsh 7.8 milion, maongezi yapo.
Sababu ya kuiuza: muuzaji anahitaji ela haraka ana matatizo.
Picha ntaziweka hivi punde.
Gari ipo maeneo ya ubungo hostel kwa anayetaka kuiona.
Karibuni.