Habari wanajf,mimi ni mkulima wa alizeti,
sijawa na uwezo wa kununua mashine ya kukamua alizeti.
Sasa ningependa kufahamu hizi mashine naweza kuzipata wapi ktk mikoa ya morogoro na Dar,
na bei...
Nauza laptop mpya aina ya HP(HSNNC31C)pichani. Processor 2.00GHZ, Ram 1GB, BIT 64,DUO CORE, Hard disk 300GB, web cam NO!, DVD ROOM YES!, COLUR BLACK..BEI NI 400,000/= laki nne TU.kwa...
I am looking for a fresh apples supplier.serious individuals with a registered company only.A bank account is a must.email me:charles@liberty-eagle.com
Mashamba ya kukodi bei chee.
1. Msanga mbele ya chanika karibu na Dar Es Salaam, kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja = 50,000/ tu.
2. Mkinga wilayani mkoani Tanga kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja =...
kumekua na tabia ya watu kuuziana hizi line za M-Pesa, tiGo Pesa na Airtel money pasipo kuangali hatari yake.. au kuchukua tahadhari.
Hatari iwezayo kutokea kwa wanunuaji wa hizi line, unaweza...
wana jf habari zenu,
Kuna tangazo linaoneshwaga chanel 5 linalosema" fupi tamu ndefu inakela" mimi nimeshindwa kabisa kumwelezea mtoto wangu hilo tangazo lina maanisha nini baada ya kuniuliza...
Wana JF,
Kumekuwa na matangazo mengi sana humu juu ya viwanja Kigamboni. Ningeshauri kujikumbusha mipango ya Serikali juu ya Kigamboni kabla mtu hajaamua kununua viwanja vinavyotangazwa kwa kazi...
Wakuu ninayo pesa tajwa hapo juu natafuta smart phone mpya au iliyopo katika hali nzuri hasa Htc one x,(isiwe Nokia Lumia) kama unayo ni pm nitaicheki nikiridhika naichukua. serious no ubabaishaji.
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki...
Poleni na kazi wadau..nahitaji desktop computer 10 ziwe na specification ndogo na za kawaida.nko mbeya mawasialiano yangu n 0716134171 naomba serious seller tufanye biashara.
Camera za CCTV pamoja na DVR zinauzwa
1) Digital Video Recorder - 4 Channels (TZS690,000/=)
Network Digital Video Recorder
H 264
With DVD Player
2) CCD Digital Video Camera...
Natafuta nyumba ya kupanga mazingira ya ubungo au kimara yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu ikiwa ina master itavutia zaidi.
Budjet yangu ni laki mbili kwa mwezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.