mkopo

mkopo

madiya85

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
282
Reaction score
65
wadau nahitaji mkopo binafsi ambao tarudisha laki na 20 kwa mwezi nahitaji milion 2 na nusu, tutaandikishana mpaka mahakamani 0766988326
 
Sawa utapata lakini kama una zamana ungeenda kwa tasisi za fedha maana mkopo binafsi kila mtu na masharti yake na mengi huwa ni magumu sana
 
wadau nahitaji mkopo binafsi ambao tarudisha laki na 20 kwa mwezi nahitaji milion 2 na nusu, tutaandikishana mpaka mahakamani 0766988326

nakupatia huo mkopo lakin dhamana ni gari inayotembea. Kama uko sawa ni-pm
 
nashukuru majibu yenu yako ok bt sina dhamana lakini mimi ni mfanyakazi serikalini najua mtaniuliza why nisiende bank sitaki kwenda bank ndo maana nahitaji mtu wa kunikopesha tukubaliane hiyo 120 kila mwezi nna uhakika wa kulipa bla shaka yoyote
 
Kama we ni mfanyakazi lazima uwe na barua inayoonyesha kuwa ni mfanyakazi kweli.
Kwa dunia ya sasa huwezi kukosa collateral au dhamana. Jichunguze mkuu
 
barua ipo ID ipo sasa sijui kingine nn?
 
Back
Top Bottom