toyota Carina for sale

toyota Carina for sale

kamanzi06

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
352
Reaction score
166
cc: 1580
mileage: 130,000km
condition: good condition
price 8,500,000/-

the car is available for inspection after 5pm maeneo ya mwenge to ubungo, kinondoni na sehemu za karibu


contacts:
+255 713 123 713
+255 683 366 973
email: kamanzi06@yahoo.com
 

Attachments

  • 20130806_084736_resized_1 (3).jpg
    20130806_084736_resized_1 (3).jpg
    68.8 KB · Views: 159
  • 20130806_084727_resized (3).jpg
    20130806_084727_resized (3).jpg
    79.4 KB · Views: 142
  • 20130806_084752_resized_1 (3).jpg
    20130806_084752_resized_1 (3).jpg
    60 KB · Views: 137
  • 20130806_084714_resized_1 (4).jpg
    20130806_084714_resized_1 (4).jpg
    62.9 KB · Views: 143
kaka offer yako ipo chini.

Nadhani huyu jamaa ametoa offer stahiki kwa hiyo gari ukiangalia uhalisia wake.
Mpe gari hiyo mkuu. Ofa aliyoweka na hali halisi kwa sasa unaweza ukakaa mwezi au miezi tena kuja kupata mteja
 
Nadhani huyu jamaa ametoa offer stahiki kwa hiyo gari ukiangalia uhalisia wake.
Mpe gari hiyo mkuu. Ofa aliyoweka na hali halisi kwa sasa unaweza ukakaa mwezi au miezi tena kuja kupata mteja

gari ipo kwenye hali nzuri kabisa mkuu.
 
gari ipo kwenye hali nzuri kabisa mkuu.

We nakuhakikishia utakuja kuikumbuka hiyo 7.5 we jifanye ooh gari iko vizuri. Carina mpya inatoka japan watu wanauza 9M. Sasa hiyo ushaendesha weeeeeeeee bado unakataa 7.5!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom