Nenda Karume pale kwenye soko jipya la mkono wa kulia unafata mtaa wa Lindi utaona car wash unaipita kidogo mkono wa kushoto kuna mtaa unaingia duka la kwanza kulia wanauza injini zote za toyota landcruiser
natafuta engine ya landcruiser gx iwe kwenye hali nzuri sana kama unayo tuwasiliane kwa namba 0714478797