DESMOND DAVID
Member
- Jan 31, 2011
- 79
- 7
Mwenye nayo naomba anipigie au sms nimpigie ninashida nayo
Call 0759149202
Call 0759149202
Hii c ukanunue dkan' kwanza hjaxema unataka aina gan, f(x) gan.!?Mwenye nayo naomba anipigie au sms nimpigie ninashida nayo
Call 0759149202
Hii c ukanunue dkan' kwanza hjaxema unataka aina gan, f(x) gan.!?
Nataka function 991
ndugu huna sababu ya kununua 2nd hand, km uko dar nenda posta mpya. Ukishuka sogea karibu na mti wa mkungu zipo za kumwaga na ni genuine utapata c zaid ya elf21 bila risiti, izo izo madukani ni elf50