Nahitaji friji mpya ndogo

Nahitaji friji mpya ndogo

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,555
Naomba ushauri wenu ni kampuni gani ya friji ambazo ziko imara zaidi na size ndogo yenye thamani ya sh.200,000 ili nikainunue ...kwa hapa dar tafadhari, natanguliza shukrani zangu.
 
Kama kwa hela hiyo nikuuzie kubwa ila sio mpya sana ni nzuri ina nguvu zoppas ya russia.
Nipo kimara mwisho
cont:0685925153
 
Back
Top Bottom