Natafuta kiwanja cha kujenga morogoro

Natafuta kiwanja cha kujenga morogoro

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Wadau respect mbele....! Naomba kwa alie na taarifa za upatikanaji wa kiwanja cha kujenga morogoro hasa maeneo ya kihonda, nane nane, mikese, na bigwa....najua nikianza kuzunguka mwenyewe nitapata taarifa, ila kwa sasa nimebanana naomba nianzie hapa.
 
Mtafute mdau mmoja humu anatumia NextLevel atakuunganisha au hata kukuuzia sehemu ya urithi wake wa viwanja morogor..Au Wasiliand Fidel08 anaweza kukutanisha naye ni mtu mkubwa sana Morogoro has katika uwekezeji kwenye udongo--aridhi na nyumba
 
asante mkuu, ujenz mwema wa taifa teule.
 
Back
Top Bottom