Tengeneza Website Yako Mwenyewe Bila Shida

Tengeneza Website Yako Mwenyewe Bila Shida

Ziggler

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
378
Reaction score
127
Sasa HUHITAJI KUSOMEA WEB DESIGNING ili uweze kutengeneza website yako mwenyewe.....Pata software itakayokusaidia kutengeneza WEBSITE yako kwa kutumia samples na template mbalimbali.NO HTML CODING IS NEEDED...Ni wewe tu kuchagua template unayoitaka then the software wil do the rest.Kazi yako itakua ni kufill the blank tu na software yenyewe itakua ina design website yenyewe......Pata Software hii kwa kali kwa bei ya tsh.10000/= tu kwa anayeihitaji awasiliane nami kupitia 0689341445
 
Mkuu, hivi hiyo ina tofauti gani kubwa na Microsoft Office Frontpage apps?
 
Mkuu, hivi hiyo ina tofauti gani kubwa na Microsoft Office Frontpage apps?
Problem ya-Microsoft Office Frontpage ni kwamba ni ya zamani hata templates zake ni za zamani the latest update ni ya mwaka 2003-
 
Kwa yeyote anayeihitaji hii software tafadhali ntumie message au nipigie at 0689341445 au ntumie contacts zako through PM
 
Software ya elfu 10 idesign website haiwezekani. Wakikukamata wenye nayo hawatakuelewa.
 
Back
Top Bottom