Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu Nimeamua kuuza ZUKU Satelite TV Complete kit yangu niliyoitumia kwa miezi sita tu Sababu: Nimepata uhamisho kikazi na sitokuwepo tena nchini,kwa hiyo nimeamua kuipiga mnada! ZUKU Satelite...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Duka gani jamani wanauza Tecno Phantom A2-F8 ??
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Kina ukubwa wa mita za mraba 1700. Kipo katika eneo zuri kwa ajili ya makaazi. Bei Tshs 45mil. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0755312233.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji till ya tigopesa iwe ya dar,nipo dar iwe na nyaraka zote ili tukabadilishe majina mwenye nayo anipe pm namba yake tufanye biashara.
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Pikipiki tajwa hapo juu inahitajika kama unayo weka bei yako tuzungumze
0 Reactions
3 Replies
975 Views
Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza nokia lumia 520 bei 220k iko kwenye hali nzuri sana Niko dsm 0766430471
0 Reactions
11 Replies
3K Views
imefutwaxxx
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo barabara ya kutoka Visiga kwenda Bagamoyo!na pia ni kilometa 3 toka morogoro road!kipo visiga madafu kina ukubwa wa ekari 1!!bei sawa na bure!!!serious buyer only!!!ni pm...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
galaxy pocket s gt 5300 imetumika miezi 3 tu.ni android siwezi aplod picha.mwenye kuhitaji tuwasiliane bei 150,000.namba 0659626782 nipo dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndug wana jf mwenye hyo bidhaa tuwasiliane, nahtaj.
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Habari ndugu zangu, mimi ni mfanyakazi wa taasisi, nimepangwa kuenda kufanya kazi mtwara. nimepata kapesa kidogo nataka nikifika nikae miezi 6 nitafute eneo zuri nijenge na ntajishughulisha na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have a client who is looking to purchase a plot in Upanga sector of minimum 2500SQM, his main requirement is that the land should be a square type and not rectangle, He may consider rectangular...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwema wakuu, kwa mara nyingine tena naleta kwenu PS2, bei ni 170,000, ina pad 1, ni dvd rome, dvd, cd na inatumia kadi pia, kwa wanaohitaji piga 0655361266, nipo Mwenge DSM
0 Reactions
4 Replies
2K Views
natafuta flat monitors used tatu bei isizidi laki moja per each. mwenye nazo anicheki pm au anitafute via 0717354243, unaweza piga, text au send whatsapp messeges.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jipangie bei unayoweza kununua wewe mwenyewe alafu uni-pm au 0758009876 Ni Nokia x2-01 Pana imetumika tayari
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa bei naafuu kabisa. Kipo Mafinga mjini -Pipeline -Majengo mapya. Kina ukubwa wa nusu hekari 31 * 62 meters = 1922 sq meters. Kimepimwa na kina hati miliki. Pia kina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naleta kwenu line mbili moja ya M-Pesa na nyingine ya Airtel Money! Naomba bei kwa wale wanaohitaji.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
iwe na uwezo wa kusoma dvd na kutunza chaji...kama unayo ni pm
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa bei ya hiyo simu dukani.. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…