Nauza ZUKU Satelite TV Complete kit

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Wakuu

Nimeamua kuuza ZUKU Satelite TV Complete kit yangu niliyoitumia kwa miezi sita tu

Sababu: Nimepata uhamisho kikazi na sitokuwepo tena nchini,kwa hiyo nimeamua kuipiga mnada!

ZUKU Satelite TV Complete kit yangu ina kila kitu kinachotakiwa na nzuri zaidi imelipiwa hadi tarehe 10/11/2013.

1.Decoda(Ina HDMI application)
2.Dish Lake.

Nipo Dar es Salaam.

Kwa aliye tayari mawasiliano yangu ni 0757665701/0787665701.

NB:Kwa sasa ukienda kununua mpya dukani full package and instillation ni Tsh 150000/= lakini hii yangu unapata kwa bei

rahisi tu.

The Magnificent!
 
Back
Top Bottom