Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana...
Wakuu katika kucheki kwangu fulsa mtandaoni nikakutana na hiyo kitu tajwa hapo juu, as a Professional painting artist, nilipendezwa Sana na kazi za Sanaa zinazofanywa ndani yake, ikapelekea niwe...
✓Watumiaji wengi wamejikuta wakiingia kwenye matatizo makubwa kwenye gari zao kwa kusababisha wao wenyewe bila kujua...!!!
✓Kivipi? Gari nyingi za kisasa Huwa zinatoa taarifa ya changamoto ya...
Mabosi kwema? Humu wengi wenu najua mna nyumba mnataka kufanyia finishing ila mna maswali juu ya garama za kwanzia skimming hadi rangi. Kwa kifupi nianze kwa wale wa chumba kimoja ambao hawamudu...
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu.
Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje?
nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya...
MUHIMU: UPDATE
MABADILIKO YA VIWANGO VYA KODI NA MENGINEYO KUANZIA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
Katika makala hii ya kodi, sehemu ya pili kuna mabadiliko ya viwango vya kodi ambavyo vimerekebishwa...
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000
Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo
Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa...
Marry Christmas to you all!!!
Ni ndugu yangu anahitaji ford tractor kuanzia namba 6000 na kuendelea iwe na four wheel drive.
mahali alipo ni mafinga,iringa lakini popote litakapopatikana...
Kuna wakati mwingine radio yako inajifunga baada ya kubadilisha betri ya gari lako.
Ukipata tatizo hilo usisite kutupigia kwa namba hii 0687746471 tutakufungulia radio yako.
Karibuni.
Ni sisi...
Kwa wale ndugu zangu walio kwenye industry ya Music Sound Card mpya hiyo inauzwa kwa bei ya offer wahi mapema zimebaki mbili tu.
Call 0684 848801
Bei ni Tshs Laki 6 TU.
Sent from my SM-A042F...
Kuwezesha Ukuaji na Ufanisi: Suluhisho Bora za Kemikali na Huduma Zetu kutoka ISMANI COMPANY LTD!
Tunatoa kemikali za hali ya juu kwa bei ya jumla na rejareja, zilizotengenezwa kwa viwango vya...
Dear members of the community forum,
I go by the name Mr. Ndumbaro, and today, I am on a quest to establish connections with like-minded individuals who possess a passion for innovation, a wealth...
Guess what? This holiday season comes with some fantastic news! Now, you can grab the smartphones on credit without any interest and it's super easy! Companies like TECNO Tanzania are making it...
Nauza eneo lipo msata ni karibu kabisa na Barbara kubwa umeme upo karibu sana na pia maji ni karibu sana ya dawasco. Bei ni million sita na nusu eneo ni kubwa. Karibu dm.
Nauza security alarm kwa ajili ya matumizi binafsi na kiofisi. Alarm hii ni wireless, inakuja na motion sensor nne , na windows/door sesnor 4, rimoti 2 kwa ajili ya kuwasha na kuzima , RIFD 2 ...
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000
Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo
Mziki ni...