INAUZWA MrUK Subwoofer inauzwa bei chee

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa Tshs 140,000

Subwoofer hii nimeitumia kwa muda wa miezi mitatu tu hivyo bado ina upya wake na haina tatizo la aina yoyote na boksi lake pia lipo

Mziki ni mkubwa na hauumizi masikio na inafaa hata kwa sherehe ndogo ndogo za nyumbani.

Napatikana Mbezi Louis

Piga namba 0764368588 tufanye biashara na ujipatie kilicho bora.
IMG_20231220_084712_410.jpg
IMG_20231220_085437_760.jpg
IMG_20231220_085421_360.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom