Nahitaji gari ya mkataba kutumia kwenye uber/bolt kwa makubaliano nitayokubaliana na mwenye gari

shetrish

Member
Nov 15, 2017
63
96
Habari wanajf, msaada tutani mwenye kufahamu napoweza kupata mtu anayetoa gari kwa mkataba au kama muhusika yupo humu naomba anisaidie, experience ipo ya zaidi ya miaka miwili tutakubaliana mahesabu kulingana na projection zake.

Asante
 
Tuwasiliane
 
Hivi mkataba ni miaka 2 au 3 ? ...
 
Back
Top Bottom