Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu...
Kwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo.
Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki.
0625511737.
Habari za muda huu wana Jamiiforums, nisiwachoshe mwenye min pocket wifi ya 4G inayoingia lain ya halotel au lain yoyote ile anicheki tuongee biashara namba 0621 074 991
Habarini wanajamvi..
Kwa mahitaji ya samaki wabichi kutoka maji baridi karibuni sana.. Tunauza kwa bei ya Jumla na rejarereja..
Kg 1 unapata kwa 11,000 na bei inapungua kadri utakavochukua kilo...
HUDUMA ZETU.
1. Tunafunga mfumo wa umeme majumbani na viwandani
2. Tunafanya maboresho na marekebisho ya mifumo ya umeme
3. Tunafunga Backups za Generator na Solar
4. Tunatoa ushauri na kusimamia...
Wakuu
Nina set ya vifaa vyote vya kuoshea magari vipo Tu home vimekaa
Sasa kama mtu anataka nimkodishe then awe ananipa % flan kila siku aje DM tuyajenge
Vifaa viko Dar
Habari wakuu,
Nauza mizani used ni nzito haina kipengele ina mawe yote
Imethibitishwa na wakala wa vipimo Tanzania
Ipo wilaya ya Hai
110k tu
0718569091
Habari Wanajamvi!
Wacha niende Moja kwa Moja kwenye Maada yangu.
Nina shida ya kifedha, hivyo nalazimika kuuza friji yangu aina ya frigo.
Glass(650Ltrs)nimeitumia miezi mitano tu, kwamaana...
Nauza iphone 13 plain
Used 2 months
UK
GB 128
Bh 100
Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika.
1,800,000ml Tsh
Dsm location
0783985530
Wakuu habari.
Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.