INAUZWA Nauza mrUk Subwoofer kubwa bei chee Tshs 110,000

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000

Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo

Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa fundi ila naiuza ili nitatue changamoto zangu

Ukiiona ndo utaamini ninachoeleza hapa

Karibu tufanye biashara

Napatikana Mbezi Louis

Simu : 0764368588
IMG_20231220_084712_410.jpg
IMG_20231220_085421_360.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom