Usikose Alarm hii Nyumbani/Ofisini kwako

winchester

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
225
193
Nauza security alarm kwa ajili ya matumizi binafsi na kiofisi. Alarm hii ni wireless, inakuja na motion sensor nne , na windows/door sesnor 4, rimoti 2 kwa ajili ya kuwasha na kuzima , RIFD 2 , kwa ajili ya kuwasha na kuzima pia, lakini pia inaweza kuwashwa na kuzimwa yenyewe kupitia keypad yake.

Kifaa hiki kina sifa zifuatazo.

1. Inauwezo wa kujiwasha na kujizima chenyewe , kwangu hii ndio feature ninayopenda hakuna usumbufu wa kuhakikisha kuwa imewasha au imezimwa na hata nisipokuwa nyumbani nina uhakika ya usalama

2. Itakutumia ujumbe wa sms pale inapowaka au kuzima au kama imedetect motion ikiwamo kufunguliwa kwa madirisha milango au movement za watu.

3. Inauwezo wa kufanya kazi masaa 24, yani ukaiwasha huku ukiendelea na shughuli zako bila usumbufu, hapa inakuruhusu kuwasha sensor za kwenye madirisha pekee bila kuwasha motion sensor, hivyo ikitokea mtu kufungua madirisha basi itapiga kelele.

4. Ina uwezo wa kuwasha au kuzima ukiwa mbali ukitumia application ya simu.

5. Inatumia umeme kidogo sana na haina waya hivyo haitaharibu muonekano wa nyumba na rahisi kuhamishika.

Hizi ni sifa chache ambazo mimi kama mtumiaji nazipenda pia lakini ina sifa nyingine nyingi , alarm hii ni nzuri sana itazuia/itapunguza wizi wa vitu majumbani au ofisini, karibuni sana bei yake ni laki nne tu (Tsh 400,000).usikose hii alarm zipo chache.

Pia kwa mahitaji ya car gps tracker, tv tracker , alarms (wired and wireless) electric fence , cctv camera , fire alarms , all repairs and maintance of security system , niandikie email , info@isecure.co.tz , nipigie simu namba 0714890018
Karibu sana.

20210807_185905.jpg

20210807_185922.jpg

Ofa Maalum kwa Wadau Wetu! 🎁🔧

Tunapenda kuwatakia Sikukuu njema za mwaka huu wa Christmas na mwaka mpya ! Shukrani kwa uaminifu wenu kwetu na support mliyotupatia Isecure technology , tungependa kushiriki na nyinyi furaha ya msimu huu wa Sikukuu kwa ofa ifuatayo.

🎁 OFA YA SIKUKUU: Car Diagnostics BURE!

🔍 Pima Hali ya Gari Lako Bure! , tutakupatia report /reset kwenye error codes . Kwa matengenezo utawasiliana na fundi wako, ZINGATIA: hatuhusiki na utengenezaji wa magari ila tu kujua matatizo ya gari yako bure , ofa hii ni kwa wadau wa jamiiforums na wakazi wa Dar es salaam tu . Nipigie 0754200363
 
Hii imekaa poa. Hiyo 400K ni pamoja na kuinstall? Zinakuwa ngapi?
Hiyo ni kifaa chenyewe installation sio kazi ni kudrill tu ukutani au ku attach kwenye kadirisha kwa ajili ya kufunga sensor , plus uwe na simcard kwa ajili ya communication ya dvd sms and calling
 
Samahani boss, niliitaka sana hiyo system, kuna mtu kafunga sehemu na akaniambia bei aliyonunulia, naona kama hiyo yako imeeenda mbali sana, ila nitacheki nae tena kujihakikishia kabla sijakupa order
 
Hiyo ni kifaa chenyewe installation sio kazi ni kudrill tu ukutani au ku attach kwenye kadirisha kwa ajili ya kufunga sensor , plus uwe na simcard kwa ajili ya communication ya dvd sms and calling
Kwa ushauri wako... nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu, sebule na dinning ikiwa ndani ya fence yake inaweza kugharimu kiasi gani kuweka kila kitu kwa maximum security?
 
Nimependa sana hiyo kuwa wireless. Zinakuja na battery zake reserve zisaidie pindi umeme unapokatika?

Jibu la mzee mwenzangu Asprin muhimu sana, kwamba hiyo 400,000/- inajumuisha installation?

Mwisho, hizo TV tracer zinafanyaje kazi? Inaweza kutumika kwa laptop pia?
 
Mzee mwenzangu nakusalimu..

Huyu bwana anaweza kutoa suluhisho la ulinzi...

Nimechoka kuhangaika na madogi... hahahaha
 
Hiyo ni kifaa chenyewe installation sio kazi ni kudrill tu ukutani au ku attach kwenye kadirisha kwa ajili ya kufunga sensor , plus uwe na simcard kwa ajili ya communication ya dvd sms and calling
Hiyo "kudrill tu" mbona kama umechukulia ni kitu rahisi sana?
 
Nitakuwekea kama upo Dar bure

Ntakutafuta Boss. Pia nimeuliza ikiwa zina battery au mfumo wa kuzifanya ziendelee kufanya kazi kwa muda pindi umeme unapokatika. Au kama hazina, tunaweza kuzifanyia maarifa ya solar?
 
Natamani ujibu hili swali la huyu Mzee, plus maelezo zaidi kama nyumba ni kubwa zaidi inahitaji zaidi ya alarm system moja?
Kwa ushauri wako... nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu, sebule na dinning ikiwa ndani ya fence yake inaweza kugharimu kiasi gani kuweka kila kitu kwa maximum security?
 
Ntakutafuta Boss. Pia nimeuliza ikiwa zina battery au mfumo wa kuzifanya ziendelee kufanya kazi kwa muda pindi umeme unapokatika. Au kama hazina, tunaweza kuzifanyia maarifa ya solar?
Sensor zote zinatumia battery, na panel/keypad inatumia battery pia hicyo ina uwezo wa kufanya kazi umeme unapokatika
 
Nauza security alarm kwa ajili ya matumizi binafsi na kiofisi. Alarm hii ni wireless, inakuja na motion sensor nne , na windows/door sesnor 4, rimoti 2 kwa ajili ya kuwasha na kuzima , RIFD 2 , kwa ajili ya kuwasha na kuzima pia, lakini pia inaweza kuwashwa na kuzimwa yenyewe kupitia keypad yake.

Kifaa hiki kina sifa zifuatazo.

1. Inauwezo wa kujiwasha na kujizima chenyewe , kwangu hii ndio feature ninayopenda hakuna usumbufu wa kuhakikisha kuwa imewasha au imezimwa na hata nisipokuwa nyumbani nina uhakika ya usalama

2. Itakutumia ujumbe wa sms pale inapowaka au kuzima au kama imedetect motion ikiwamo kufunguliwa kwa madirisha milango au movement za watu.

3. Inauwezo wa kufanya kazi masaa 24, yani ukaiwasha huku ukiendelea na shughuli zako bila usumbufu, hapa inakuruhusu kuwasha sensor za kwenye madirisha pekee bila kuwasha motion sensor, hivyo ikitokea mtu kufungua madirisha basi itapiga kelele.

4. Ina uwezo wa kuwasha au kuzima ukiwa mbali ukitumia application ya simu.

5. Inatumia umeme kidogo sana na haina waya hivyo haitaharibu muonekano wa nyumba na rahisi kuhamishika.

Hizi ni sifa chache ambazo mimi kama mtumiaji nazipenda pia lakini ina sifa nyingine nyingi , alarm hii ni nzuri sana itazuia/itapunguza wizi wa vitu majumbani au ofisini, karibuni sana bei yake ni laki nne tu (Tsh 400,000).usikose hii alarm zipo chache.

Pia kwa mahitaji ya car gps tracker, tv tracker , alarms (wired and wireless) electric fence , cctv camera , fire alarms , all repairs and maintance of security system , niandikie email , info@isecure.co.tz , nipigie simu namba 0714890018
Karibu sana.

View attachment 1884422

View attachment 1884423
Unge-attach na vifaa vingine vinavyokuwa pamoja ungetisha.!
 
Back
Top Bottom