kwa experience niliyonayo.. Kutoka kwa marafiki na watu wa karibu.. Kumekuwa na uzungushanaji wa mnunuaji gari na clearing agents walio wengi. Siongei kujitapa.. Ila kati ya hao wengi.. Nimekutana...
Ist grade mtumba clothes unapatikana kwa bei nzuri hapa dukani kwetu maeneo ya TABATA AROMA karibu na DAR WEST PARK. Tuchake kwenye wtsp #0714121270 or 0758233324,our facebook page...
Ni leo mchana kumekuwepo na Tatizo la kufanya connection kwa kutumia UDP server ports
Hili tatizo linaweza liwe permanent au temporal hivo msiwe na wasi wasi maana watu/wateja wangu hasa wa...
Habari wana JF, Business as usual..
Nauza Vitabu kama ifuatavyo.
Economics
Econometria - Gujarati - Basic Econometrics
Economics - Principles and Applications (2nd Edition)
Entertainment Industry...
DELL latitude E6400,RAM 2GB,PROCESSOR DUO CORE 2.4GHZ,HDD 250GB
Kwa anayeitaji anipigie au sms 0759149202
Mzigo mpya umeingia kwa punguzo la bei mpaka 430000
habari wa ungwana!
kuna hili jambo nimekutana nalo linahusu kusafisha dollar negatives au ni utapeli maana nimeface kitu kipya naogopa nisije nikatapeliwa
1.nikweli hii biashara ipo na kama...
JIPATIE BLACKBERRY KWA BEI POA KUTOKA UK
BLACKBERRY 9800
PRICE/BEI Tsh 250,000/=
stutus: used but in good condition
area; dar es salaam
contact: 0716471365
for more specification deatail click...
we deal primarily in genuine, ORIGINAL brand new electronics, all items are sourced directly from the manufacturers and carry the manufacturers international warranty.They Are Factory Sealed...
Shamba linauzwa lenye ukubwa ekari 45 maeneo ya USA King'ori kila ekari kwa shilingi Milioni 15, kilometa mbili kuingia kwenye eneo kutoka barabara ya moshi arusha. 0755033997
habari zenu wana jf,naomba mwenye ujuzi katika masuala ya lubricants[oil]anipatie elimu ktk sector hii.lubricants zenye masoko,masuala ya ushuru n.k.natanguliza shukran zangu
WANAJAMII FORUM,kuanzia tarehe 19/12/2013 nitakuwa MOSHI na ARUSHA na korosho daraja la kwanza kutoka Mtwara,korosho za brown,kwakweli ni nzuri sana...nitakuwa nauza bei nzuri...nawakaribisheni...
Tangu yazinduliwe haya maji ya Jaydee sijawahi yatia machoni, hivi yanatengenezwa bado ama aliona biashara hailipi akaacha? Maana naskia biashara ya maji ni kati ya biashara zinazolipa sana ndio...
Nauliza mahali naweza kupata laptop mpya. Vigezo vifuatavyo ni muhimu. Type ipi ni nzuri, toshiba, dell au nyingine kwa durability ya betri na vitu vingine. Pili, bei iwe reasonable. Tatu nipate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.