Habari NJEMA kwa wateja wangu wa Internet kupitia VPN

  • Thread starter Njunwa Wamavoko
  • Start date
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
5,613
2,000
Ni leo mchana kumekuwepo na Tatizo la kufanya connection kwa kutumia UDP server ports
Hili tatizo linaweza liwe permanent au temporal hivo msiwe na wasi wasi maana watu/wateja wangu hasa wa mikoani wengi wanasema VPN zinaconnect bila shida...Hii ndo inanipa matumaini kuwa huduma hii itarejea na tutaendelea kula maisha bila wasi wasi lkn iwapo haitarejea soma chini uone nimejipanga vipi

Je,Nimejipanga vipi kuhusiana na Ajari iliyotokea
In short ni kwamba MCHUNGAJI MWEMA HAWATUPI KONDOO WAKE na mm kwakuwa ni mchungaji mwema basi sitowatupa kondoo wangu ntakuwa nanyi mwanzo mwisho ndani ya hii game

Kwa sasa nimepata aalternative na mtandao mwingine na sasa tutaendelea kukamua Internet yetu kama kawaida

  • Kwa wale mliokuwa na modem za line moja sasa Unlock maaana tatizo likendelea inabidi niachie kwenu basi jipya
  • Pili kwa basi lile bado tutaendelea kutumia TCP tunnel nimepata Port mpya
  • ICMP tunnel nayo imekubali tayari nasubiri adminstrator wa TG haweze kupermeat Fastes Mode of connection maana ktk TunnelGuru connection ya ICMP ina modes nyingi zenye speed tofauti lkn mode iliyokubali iko slow nataka permission tu ili niweze kushare hii trick ICMP TUNNEL
  • Pia tutaendelea kutumia HTTP tunnel lkn hatutomia Proxy maana hii ni njia iko complicated kwa layman nimeshapata njia nzuri ya kutumia SOCKSFIERs


Baadhi ya Picha nilizo capture ningetengeneza na Video lkn mda ulishakuwa usiku mno
Nimeficha baadhi ya Vitu maana sipendi COPY n PASTEBROUGHT TO YOU BY CERTIFIED AND CAPABLE AUTHORISED VPN RESELLER IN TANZANIA
0657209956
0753932250
you'll contribute only 3.5$ for this
 
Njunwa Wamavoko

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
5,613
2,000
NEW UPDATE
Kwa wale wateja wangu wa PD proxy imepatika port mpya hivo kama haupati connection nicheki Via my phone or nicheki kupitia PM

Kwa wale wateja wangu wa ANDROID kupitia TROIDVPN in short hii port mpya haifanyi kazi kwenye TunnelGuru/TroidVPN mpaka adminstarator hatakapo kuwa amezifungua hizo port kwenye server zake

wateja wangu wa MeteorVPN na OpenVPN uvumili utafaha nimeshatuma email kwa adminstarator na port itafunguliwa

 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom