Blackberry curve2 9300 kwa 150,000

Blackberry curve2 9300 kwa 150,000

Kabaizer

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
504
Reaction score
64
cm ndio ninayoitumia haina tatizo lolote inakaa na chaji siku mbili na ina kila kitu mpaka memory card kwa mawasiliano nicheki 0653 957095
 
Blackbery gani hyo inakaa na chaji kwa cku mbili? Uongo mkubwa
cm ndio ninayoitumia haina tatizo lolote inakaa na chaji siku mbili na ina kila kitu mpaka memory card kwa mawasiliano nicheki 0653 957095
 
mwisho laki 40!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Meme ninayo kubwa yake bb 9360 naiuza 130,ukuje hapa kama wataka BB ya maana,PM fasta.......
 
Back
Top Bottom