Maji ya Jaydee yanauzwa wapi?

Maji ya Jaydee yanauzwa wapi?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,850
jide-4.jpg



Tangu yazinduliwe haya maji ya Jaydee sijawahi yatia machoni, hivi yanatengenezwa bado ama aliona biashara hailipi akaacha? Maana naskia biashara ya maji ni kati ya biashara zinazolipa sana ndio maana kila mkoa sasahivi kuna kiwanda cha maji...sasa how comes kwa mtu kama Jide ambaye tayari Brand name yake tayari ilikua imemuweka kwenye competitive advantage aishindwe hii biashara? Au anauza nje ya nchi tu..Kuna anaefaham kuhusu haya maji na ambaye alishawahi kuyanywa atuambie quality yake
 
Maji yake????? kuhusu maji yake muuluze Gadna
 
UKISEMA MAJI YAKE unakosea maaana tafisir yake
Ndio maana nimeweka picha wakuu ili watu wasipeleke akili nje ya mada...maana humu jf kuna watu always wanapeleka akili ndiko siko...hii sio great thinking wajameni daah
 
walimuwekea fitina yasitoke, kwahiyo hayajawahi uzwa sehem yoyote ile.
 
Bujibuji katoa jibu ambalo lilishawahi kugusiwa kwenye lile bifu la Jide na redio yenu ya mikocheni
 
Last edited by a moderator:
ni kwamba hakupewa kibali, alipigwa fitna mpaka akaacha angekuwa muhindi wangempa kibali.
 
hii habari ipelekwe jukwaa la mmu. maji yake! ni utani tu wakuu
 
kuna company ilitaka kutumia jina la jide kwenye maji ya kunywa TFDA wakaweka zengwe ndo maana maji hayapo sokoni!
 
Hata mimi nitaanzisha yangu wiki ijayo sijuwi niyaite jina gani, mwenye wazo anisaidie.
 
Back
Top Bottom